
TANGAZO LA UFADHILI – KOZI YA LUGHA YA ALAMA
MWANZA INSTITUTE OF EDUCATION AND TRAINING (MIET)
P.O. BOX 458, MWANZA – TANZANIA
TANGAZO LA UFADHILI – KOZI YA LUGHA YA ALAMA
MIET inatangaza nafasi za ufadhili wa kozi ya Ukalimani wa Lugha ya Alama kwa walimu waliopo mkoa wa Mwanza chini ya VOICE Project Scholarship Scheme.
- Kozi inaanza: 1 Julai 2025
- Muda wa kozi: Miezi 2
- Ada: TZS 15,000 (gharama ya fomu) + 25% ya ada ya kozi (MIET italipia 75%)
- Nafasi: Walimu 25 tu (Mkoa wa Mwanza)
Deadline: 25 Juni 2025